Sisilia
Sisilia (kwa Kiitalia Sicilia) ni kisiwa kikubwa cha Italia na cha bahari ya Mediteranea yote, ikiwa na eneo la kilomita mraba 25711.
Iko kusini kwa rasi ya Italia, ng'ambo ya mlangobahari wa Messina.
Sisilia pamoja na visiwa vidogo vya jirani ni pia mkoa wa nchi wenye katiba ya pekee.
Idadi ya wakazi ni watu 5,077,487 (2015), ambao kati yao 98% ni raia wa Italia.
Wilaya
Tazama pia
Tovuti za nje
Mikoa ya kawaida | |
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto | | |
Mikoa yenye katiba ya pekee | |
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta |
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sisilia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz