Ticino

Ticino ni moja ya majimbo yanayounda shirikisho la Uswisi.

Lugano, Uswisi.
Mahali pa Ticino katika Uswisi.
Bendera ya jimbo.
Bendera ya jimbo.

Mji mkuu wake ni Bellinzona.

Wakazi wengi wanaongea Kiitalia na ni wafuasi wa Yesu Kristo katika Kanisa Katoliki.

Tazama pia

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ticino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.