Turibi wa Astorga

Turibi wa Astorga (402 hivi - Astorga, Hispania, 476 hivi) alikuwa kwanza mkaapweke, halafu askofu wa mji huo ambaye alipambana na uzushi wa Waprisiliani[1], Wamani, Waario, Wapelaji pia kwa agizo la Papa Leo I ambaye barua aliyomuandikia imetufikia[2][3].

Sanamu ya Mt. Toribi katika kanisa kuu la Astorga.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Aprili[5].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.