Uasilia

Uasilia (kwa Kiingereza: nature, neno linatokana na lile la Kilatini natura ambalo linamaanisha "tabia ya kuzaliwa nayo" na lilikuwa tafsiri ya neno la Kigiriki φύσις, physis lililotumiwa na washairi na wanafalsafa wa kwanza.[1][2][3] ), maana yake ni ulimwengu ulivyokuwa kwa asili, kabla ya binadamu kuuathiri kwa utamaduni na hasa kwa ustaarabu wake, uliokuza teknolojia inayomwezesha kufanya mengi, mazuri na mabaya, pengine mambo yanayoleta faida ya haraka lakini yana madhara makubwa kwa siku za mbele.

Hopetoun Falls, Australia.
Umeme ukiangaza wakati wa milipuko ya volkeno Galunggung, Java, Indonesia, 1982.

Uasilia wote unasomwa kwa mpango na sayansi katika matawi yake yote.

Tanbihi

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uasilia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.