Uhodhisoko
Uhodhisoko (kutokana na kitenzi "kuhodhi" na neno "soko"; kwa Kiingereza "monopoly", kutoka maneno mawili ya Kigiriki: monos, yaani "pekee", na polein, yaani "kuuza") ni hali ya uchumi ambapo watu wachache au kampuni chache, kama si moja tu, hudhibiti soko la bidhaa fulani kiasi kwamba washindani hawawezi kuliingilia. Hali hiyo inaathiri upangaji wa bei na mambo mengine yanayohusu bidhaa hiyo.
Tanbihi
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uhodhisoko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz