Ukaragushi
Ukaragushi (kwa Kiingereza "animated cartoon") ni njia ya kutengeneza filamu kutokana na picha nyingi za katuni hai. Picha hizo huwekwa pamoja moja kwa moja, na kisha hucheza kwa kasi ili kutoa udanganyifu wa miondoko.
Ukaragushi ni aina mpya ya sanaa, na ingawa dhana ya kutembeza picha imekuwa mandhari katika ustaarabu wa kale, haikuwa mpaka mwishoni mwa karne ya 19 kwamba ukaragushi wa majaribio ulianza kweli.
Leo, sekta ya ukaragushi inaongezeka, na hufanya biashara kubwa. Hata hivyo, kati ya wasanii binafsi, bado ni aina ya pekee ya sanaa.
Viungo vya nje
- The making of an 8-minute cartoon short
- "Animando", Filamu fupi inaonyesha mbinu 10 za kuunda ukaragushi
- Mitindo na mbinu 19 za ukaragushi
- Bibliografia ya ukaragushi
- Faida na mifano ya ukaragushi aina ya 2D[dead link]
- Ukaragushi katika Open Directory Project
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ukaragushi kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino