Picha
Picha (kutoka neno la Kiingereza "picture", lililotokana na Kilatini "pictura") ni taswira ya kitu fulani ambacho kimechorwa au kutumia vifaa vya elektroniki kuchukua taswira ilivyo.
Siku hizi picha zimeenea kila mahali, na wengi wanapenda sana kuzipiga ili kutunza kumbukumbu zao.
Upigaji picha umekuwa aina mojawapo ya sanaa.
Nyakati za kupigwa picha
Kwa kawaida watu hupigwa picha wakati wa harusi, ubatizo, mazishi, mahafali au wakati mwingine wowote ambapo ungependa kuuhifadhi katika kumbukumbu kwa njia ya picha.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Picha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz