Upigaji picha

Upigaji picha (kwa Kiingereza Photography kutokana na maneno mawili ya Kigiriki: φωτός, phōtos, ambalo mzizi wake ni φῶς, phōs, "nuru"[1] na γραφή, graphé, "mwandiko" au "mchoro"[2] ambayo kwa pamoja yanamaanisha "kuchora kwa mwanga".[3])ni teknolojia na sanaa ya kutengeneza picha za kudumu kwa kunasa mwanga au mionzi mingine, kwa njia ya kielektroni au ya kikemia.[4]

Lensi ya kamera.

Kwa kawaida, lensi inatumika kuelekeza mwanga wa nje mpaka ndani ya kamera kwa muda fulani.

Matumizi ya picha hizo leo ni makubwa katika sekta nyingi.

Baada ya picha mgando (karne ya 19) binadamu alibuni pia picha za video (filamu).

Tanbihi

Marejeo

Utangulizi

  • Photography. A Critical Introduction [Paperback], ed. by Liz Wells, 3rd edition, London [etc.]: Routledge, 2004, ISBN 0-415-30704-X

Historia

  • A New History of Photography, ed. by Michel Frizot, Köln : Könemann, 1998
  • Franz-Xaver Schlegel, Das Leben der toten Dinge – Studien zur modernen Sachfotografie in den USA 1914–1935, 2 Bände, Stuttgart/Germany: Art in Life 1999, ISBN 3-00-004407-8.

Marejeo ya kitaalumu zaidi

Vitabu vingine

  • Photography and The Art of Seeing by Freeman Patterson, Key Porter Books 1989, ISBN 1-55013-099-4.
  • The Art of Photography: An Approach to Personal Expression by Bruce Barnbaum, Rocky Nook 2010, ISBN 1-933952-68-7.
  • Image Clarity: High Resolution Photography by John B. Williams, Focal Press 1990, ISBN 0-240-80033-8.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Upigaji picha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.