Ursula Mtakatifu

Ursula Mtakatifu (alifariki Koln, Ujerumani, 383) alikuwa mwanamke wa Ukristo wa Kiselti anayeheshimiwa na Wakatoliki na Waanglikana kama mtakatifu bikira mfiadini, ingawa habari zake[1] hazina hakika sana, kiasi kwamba kifo chake kinatajwa kutokea miaka tofauti: 238, 283, 383, 451 na hata 640[2].

Mt. Ursula.
Mchoro wa Hans Memling, Kifodini cha Mt. Ursula.

Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 21 Oktoba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.