Uwezo
Uwezo ni neno ambalo maana yake imegawanyika:
- kuwa na nguvu
- kuwa na mali
- kuwa na nguvu na mamlaka ya kufanikisha jambo
- kuwa na ufahamu wa kuelewa masomo darasani
- kipawa binafsi ambacho mwingine anaweza akawa nacho, na mwingine asiwe nacho
Kwa mfano, kuna baadhi ya watu wanapenda kwenda jeshini wakielezwa hali ya huko lakini wengine hawataki hata kusikia. Katika vita vya Kagera vya mwaka 1978 Idd Amini wa Uganda alitaka kuteka baadhi ya maeneo ya Tanzania. Kuna wazalendo waliojitoa kwa hali na mali wakaikomboa nchi: Amini hakuwa na uwezo tena, akakimbilia Libya.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz