Varo na wenzake

Varo na wenzake (walifariki 307) walikuwa Wakristo wa Misri.

Kifodini cha Varo na wenzake.

Varo alikuwa askari. Alipokwenda gerezani kutembelea wakaapweke 6 waliofungwa, alijiunga nao. Hatimaye wote waliteswa na kuuawa kwa ajili ya imani yao.

Majina ya wenzake hayajulikani.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Oktoba[1].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.