Walter Kohn
Mwanafizikia wa Marekani (1923–2016)
'
Walter Kohn | |
---|---|
Amezaliwa | 9 Machi 1923 |
Kazi yake | mwanafizikia kutoka nchi ya Kanada |
Walter Kohn (amezaliwa 9 Machi 1923) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Kanada. Alizaliwa nchi ya Austria ambako alikimbilia Uingereza na Kanada kwa vile familia yake ni Wayahudi. Baadaye alipata uraia wa Marekani. Hasa alichunguza na kuendeleza nadharia ya uzito wa atomu. Mwaka wa 1998, pamoja na John Pople alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Walter Kohn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz