Wido wa Acqui

Wido wa Acqui (Melazzo, 1004 - Acqui Terme, 2 Juni 1070) anakumbukwa kama askofu wa mji huo wa Italia Kaskazini kuanzia mwaka 1034 hadi kifo chake[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kuaga dunia[2].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.