Joviani wa Trier ni mmojawapo katika kundi la Wakristo 12 ambao mwaka 287, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kufa kwa ajili ya imani ya Kikristo katika mji wa Trier (leo nchini Ujerumani)[1].
Tangu kale wafiadini hao wote wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 5 Oktoba.[2]