Agrikola wa Chalon

Agrikola wa Chalon (Ufaransa, 498 hivi - Châlon-sur-Saône, Ufaransa, 580 hivi) alikuwa askofu bora wa mji huo kwa miaka 48 kuanzia mwaka 532[1].

Aliongoza au kushiriki mitaguso kadhaa kuliimarisha Kanisa[2][3][4][5][6].

Gregori wa Tours alimsifu kwa maadili na utendaji wake[7].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Machi[8].

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

  • Grégoire de Tours, Histoire des Francs, Livre V.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.