17 Machi

tarehe
Feb - Machi - Apr
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 17 Machi ni siku ya 76 ya mwaka (ya 77 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 289.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Patrick wa Ireland, Wafiadini wa Aleksandria, Agrikola wa Chalon, Getrude wa Nivelles, Paulo wa Kupro, Yohane Sarkander, Gabrieli Lalemant n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 17 Machi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.