Albino wa Lyon

Albino wa Lyon (alifariki 395 hivi) alikuwa askofu mkuu wa 14 wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kwa miaka 10 hivi baada ya Yusto wa Lyon kung'atuka [1][2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4][5].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Septemba[6].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.