Anatoli wa Laodikea

Anatoli wa Laodikea (anajulikana pia kama Anatoli wa Aleksandria kwa kuwa ndipo alipozaliwa mwanzoni mwa karne ya 33 Julai 283[1]) alikuwa askofu wa Laodikea kwenye pwani ya Mediteranea nchini Syria.

Kabla ya hapo alikuwa pia kati ya wataalamu wakuu wa hisabati, jiometri, fizikia, astronomia na falsafa ya Aristotle akaacha maandishi muhimu kwa wasio Wakristo pia [2][3][4][5][6].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[7].[8].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Acta Sanctorum, I, July
  • Michaud, Biog. Univ.
  • Sabine Baring-Gould, Lives of the Saints (London, 1872)
  • "Lives of the Saints," Omer Englebert, New York: Barnes & Noble Books, 1994, pp 532, ISBN 1-56619-516-0
  • "The Ante-Nicene Christian Pasch: De ratione paschali, the Paschal Tract of Anatolius, bishop of Laodicea" by Daniel P. Mc Carthy and Aidan Breen (2003) Dublin: Four Courts Press

Marejeo mengine

  • Kieffer, John (1970). "Anatolius of Alexandria". Dictionary of Scientific Biography. 1. New York: Charles Scribner's Sons. pp. 148–149. ISBN 0-684-10114-9
      .
  • Zuidhoek, Jan (2017). "The initial year of De ratione Paschali and the relevance of its paschal dates". Studia Traditionis Theologiae. 26. Turnhout: Brepols Publishers. pp. 71–93. ISBN 978-2-503-57709-8
      .

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.