André Gide
André Gide (22 Novemba 1869 – 19 Februari 1951) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Mada za maandiko yake ni pamoja na kumtafuta Mungu, shajara za maisha yake, na ushoga. Tawasifu yake "Punje ya Ngano Isipokufa ..." (kwa Kifaransa Si le grain ne meurt ...) ilitolewa mwaka wa 1926. Mwaka wa 1947 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu André Gide kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz