Andre Leander Arendse
Mwanasoka wa Afrika Kusini
Andre Leander Arendse (alizaliwa 27 Juni 1967) ni mchezaji wa mpira wa miguu, ambaye anacheza kama golikipa wa nchini Afrika Kusini. Kwa sasa anafanya kazi kama msaidizi na mwalimu wa kipa kwa timu ya Supersport united na pia ni mwakilishi wa Supersports
Kazi
Arendse alicheza mechi yake ya kwanza mwaka 1991 akiwa na Cape Town Spurs katika NSL ambayo sasa imezimwa, akitolewa kwa mkopo kwa Santos ya Cape Town mwaka wa 1992Baadaye alichezea Oxford United, Fulham, Santos, Mamelodi Sundowns na SuperSport United.[1]
Tanbihi
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andre Leander Arendse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino