Andrea wa Krete

Andrea wa Krete (kwa Kigiriki Ἀνδρέας Κρήτης; lakini pia Andrea wa Yerusalemu; Damasko, Siria, 650 hivi – Mutilene, 4 Julai 712 au 726 au 740), alikuwa askofu, mwanateolojia na mhubiri maarufu[1] tena mtunzi wa sala, nyimbo na tenzi fasaha sana ili kumsifu Mungu na Bikira Maria kama Mama wa Mungu asiye na doa na mpalizwa mbinguni [2][3].

Andrea wa Krete

Picha takatifu ya Andrea wa Krete (kushoto) na Maria wa Misri
Feast

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Julai[4].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.