Aydın
Aidın (Kigiriki: Αϊδίνιο) ni mji mkuu wa Mkoa wa Aydın wa nchini Uturuki.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/5b/Ayd%C4%B1n_districts.png/400px-Ayd%C4%B1n_districts.png)
Aidın ni kitovu cha mabonde madogo ya Mto Meander kuelekea chini ya Bahari ya Aegean. Mji unafahamika toka zama za kale kwa kuwa na rutuba na mazao mengi. Leo hii zao kubwa lifahamikalo kwa huko ni ile miti ya mifigi, japokuwa eneo linaweza kuotesha baadhi ya kilimo cha mazao mengine tofauti na hayo.
Mji pia una viwanda vidogovidogo na maeneo kadhaa ya kihistoria na vitovu vya utalii. Hali ya hewa ya huko kwa kipindi cha kiangazi huwa na joto sana.
Viungo vya nje
- Aydın municipality Archived 30 Aprili 2009 at the Wayback Machine. (Kituruki)
- Tralleis Excavations Archived 18 Desemba 2014 at the Wayback Machine. (Kituruki)
- Photo Gallery of Aydin Archived 6 Februari 2012 at the Wayback Machine.
- Hazlitt's Classical Gazetteer Archived 1 Novemba 2013 at the Wayback Machine.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Aydın kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia