Bergen
manisipaa ya Vestland katika Norwei
Bergen ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Norwei. Mji una wakazi takriban 262,500 kulingana na makisio ya 31 Julai 2011.[1] Bergen ni kitovu cha ngazi ya utawala ya jimbo la Hordaland. Maeneo ya Mji Mkuu wa Bergen kama yalivyoelezwa na Statistics Norway, una wakazi 386,400 ifikapo 31 Julai 2011.
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Municipality website in Norwegian and English[dead link]
- Bergen Guide
- Bergen travel guide kutoka Wikisafiri
Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bergen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz