Blunted on Reality

Blunted on Reality ni albamu ya kwanza ya kundi la muziki wa hip hop la Marekani, The Fugees. Ingawa albamu ilimaliziwa kunako 1992, ikawa inarejeshwa kwa mara kadhaa hadi hapo ilipokuja kutolewa rasmi mwanzoni mwa mwaka wa 1994. Baada ya kupata maslahi ya kimataifa kwa albamu yao iliyofuatia mwaka 1996, The Score, albamu hii ikaja kuuza kopi zaidi ya milioni nne kwa hesabu ya dunia nzima.

Blunted on Reality
Blunted on Reality Cover
Studio album ya The Fugees
Imetolewa 1 Februari 1994
Imerekodiwa 1991-1992
Aina Hip hop
Lebo Ruffhouse Records
Mtayarishaji Pras, Wyclef Jean, Khalis Bayyan, Salaam Remi, Brand X, Stephen Walker, Rashad Muhammad
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za The Fugees
Blunted on Reality
(1994)
The Score
(1996)


Orodha ya Nyimbo

#JinaMtayarishaji (wa)Mwimbaji (wa)Sampuli Zilizotumika[1]
1"Introduction"Lauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel
2"Nappy Heads"Brand X, Pras, Rashad Muhammad na Wyclef JeanLauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel
  • "I Think about Loving You" ya Earth, Wind na Fire
  • "Heaven at Once" ya Kool na The Gang
  • "The Hump" ya Buster Williams
3"Blunted Interlude"Pras na Wyclef Jean; Mtayarishaji-Mshiriki: Khalis BayyanLauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel
4"Recharge"Khalis Bayyan, Pras na Wyclef JeanLauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel
5"Freestyle Interlude"Wyclef Jean na Pras Michel
6"Vocab"Pras na Wyclef JeanLauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel
  • Stop the Violence ya Boogie Down Productions
7"Special News Bulletin Interlude"Khalis Bayyan, Wyclef Jean na Pras Michel
8"Boof Baf"Khalis Bayyan, Pras na Wyclef JeanKhalis Bayyan,Spida (Mad Spider), Wyclef Jean na Pras Michel
  • "Mojo Hanna" ya Tammi Lynn
9"Temple"Pras na Wyclef Jean; Mtayarishaji-Mshiriki: Khalis BayyanWyclef Jean na Pras Michel
10"How Hard Is It?"Khalis Bayyan, Pras na Wyclef JeanSpida (Mad Spider), Khalis Bayyan, Wyclef Jean na Pras Michel
11"Harlem Chit Chat Interlude"Rashad Muhammad
12"Some Seek Stardom"Rashad Muhammad na Stephen WalkerLauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel
13"Giggles"Pras na Wyclef Jean; Mtayarishaji-Mshirikis: Khalis Bayyan na Rashad MuhammadWyclef Jean na Pras Michel
14"Da Kid from Haiti Interlude"Lauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel
15"Refugees on the Mic"Pras na Wyclef Jean; Mtayarishaji-Mshiriki: Khalis BayyanLauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel
  • "Good Times" ya Chic
  • "Brazilian Rhyme" ya Earth, Wind na Fire
16"Living Like There Ain't No Tomorrow"Pras na Wyclef JeanWyclef Jean na Pras Michel
17"Shout Outs from the Block"Wyclef Jean na Pras Michel
18"Nappy Heads (Remix)"Salaam RemiLauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel

Single za albamu

Single information
"Boof Baf"
  • Imetolewa: 19 Oktoba 1993
  • B-side: "Living Like There Ain't No Tomorrow"
"Nappy Heads"
  • Imetolewa: 26 Julai 1994
  • B-side: "Some Seek Stardom"
"Vocab"
  • Imetolewa: 8 Novemba 1994
  • B-side: "Refugees on the Mic (Remix)", "Nappy Heads (Mad Spider Mix)"

Chati

Albamu

Chati (1994)Nafasi
Iliyoshika
Top RnaB/Hip Hop Albums (U.S.)62
Top Heatseekers (U.S.)20

Chati za Single

MwakaSongChati iliyoshika
Billboard Hot 100Hot RnaB/Hip-Hop Singles na TracksHot Rap Singles
1994"Nappy Heads"495212
1995"Vocab"-9122

Marejeo



Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Blunted on Reality kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.