Bologna

Bologna ndio mji mkuu wa mkoa wa Emilia-Romagna nchini Italia. Mji upo m 54 juu ya usawa wa bahari.

Sehemu mbalimbali za mji


Bologna
NchiItalia
MkoaEmilia-Romagna
WilayaBologna
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 391,525
Tovuti:  www.comune.bologna.it/

Kwa mujibu wa kadirio la mwaka wa 2020, kuna wakazi wapatao 391,525 wanaoishi katika mji huo.

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bologna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.