Bonito wa Lyon
Bonito wa Lyon au Bonitus wa Clermont (kwa Kifaransa: Bonnet; Auvergne, 623 – Lyon, 15 Januari 710 hivi) aliwahi kuwa na vyeo mbalimbali muhimu, kama vile chansela wa mfalme, gavana wa Marseilles na hatimaye kwa miaka kumi askofu wa Auvergne (Ufaransa) baada ya kifo cha kaka yake Avitus.
Kisha kung'atuka, alikwenda kuishi miaka 4 monasterini na hatimaye akaenda kuhiji Roma. Wakati wa kurudi Ufaransa alifariki.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz