15 Januari

tarehe
Des - Januari - Feb
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 15 Januari ni siku ya kumi na tano ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 350 (351 katika miaka mirefu).

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sekondina wa Anagni, Yohane Kalibita, Ita wa Cluain, Probo wa Rieti, Mauro abati, Tarsisia wa Rodez, Emebati, Malardo, Romedi, Bonito wa Lyon, Arseni wa Armo, Fransisko Fernandez de Capillas, Arnold Janssen n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 15 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.