C (lugha ya programu)

C ni lugha ya programu. Iliundwa na Dennis Ritchie na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1972. Iliundwa ili kuumba mifumo ya uendeshaji. Leo tunatumia C 18. Ilivutwa na FORTRAN.

C
The C Programming Language logo
Shina la studionamna : namna ya utaratibu
ImeanzishwaJanuari 1 1972 (1972-01-01) (umri 52)
MwanzilishiDennis Ritchie
Ilivyo sasaIlivutwa na: B (BCPL, CPL), ALGOL 68, Assembly, PL/I, FORTRAN

Ilivuta: AMPL, AWK, csh, C++, C--, C#, Objective-C, D, Go, Java, JavaScript, Julia, Limbo, LPC, Perl, PHP, Pike, Processing, Python, Ring, Rust, Seed7, Vala, Verilog (HDL), Nim

MahalaDennis Ritchie & Bell Labs; ANSI X3J11 (ANSI C); ISO/IEC JTC1/SC22/WG14 (ISO C)
Tovutihttps://www.learn-c.org

Inaitwa C kwa sababu ni mageuzi ya B, lugha ya programu nyingine.

Historia

Ilianzishwa 1 Januari 1972 nchini Marekani. Lakini Dennis Ritchie alianza kufanya kazi kuhusu C mwaka wa 1970.

Falsafa

Namna ya C ni namna ya utaratibu kinyume cha lugha za programu nyingi.

Sintaksia

Sintaksia ya C ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya B, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya C

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

#include <stdio.h>int main(void){    printf("Jambo ulimwengu !\n");}

Programu kwa kutafuta factoria ya namba moja.

    #include <stdio.h>    int main() {        int n, i;        unsigned long long fact = 1;        printf("Enter an integer: ");        scanf("%d", &n);        // shows error if the user enters a negative integer        if (n < 0)            printf("Error! Factorial of a negative number doesn't exist.");        else {            for (i = 1; i <= n; ++i) {                fact *= i;            }            printf("Factorial of %d = %llu", n, fact);        }        return 0;    }

Marejeo