C sharp

C# au C sharp ni lugha ya programu. Iliundwa na Anders Hejlsberg na ilianzishwa tarehe 1 Julai 2000. Iliundwa ili kuumba programu kwa Microsoft. Leo tunatumia C# 8.0. Ilivutwa na C++.

C#
C Sharp wordmark
Shina la studionamna : namna nyingi inaozingatiwa kuhusu kipengee
ImeanzishwaJulai 1 2000 (2000-07-01) (umri 23)
MwanzilishiAnders Hejlsberg
Ilivyo sasaIlivutwa na: C++, Cω, Eiffel, F#, Haskell, Icon, J#, J++, Java, ML, Modula-3, Object Pascal, Rust, VB

Ilivuta: Chapel, Clojure, Crystal, D, J#, Dart, F#, Hack, Java, Kotlin, Nemerle, Oxygene, Ring, Rust, Swift,[ Vala, TypeScript

MahalaCommon Language Infrastructure
Tovutihttps://www.csharp.net

Inaitwa C# kwa sababu ni mageuzi ya C++, lugha ya programu nyingine.

Historia

Ilianzishwa 1 Julai 2000 nchini Marekani. Lakini Anders Hejlsberg alianza kufanya kazi kuhusu C# mwaka wa 1999.

Falsafa

Namna ya C# ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.

Sintaksia

Sintaksia ya C# ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya Haskell, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya C#

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

using System;class Program{    public static void Main(string[] args)    {        Console.WriteLine("Jambo ulimwengu !");    }}

Programu kwa kupata factoria ya namba moja.

       using System;        public class FactorialExample         {           public static void Main(string[] args)            {             int i,fact=1,number;                 Console.Write("Ingia namba moja: ");                 number= int.Parse(Console.ReadLine());                for(i=1;i<=number;i++){                  fact=fact*i;                 }                 Console.Write("Factoria ya " +number+" ni: "+fact);             }        }

Marejeo