Chuo Kikuu cha Chicago

Chuo Kikuu cha Chicago ni chuo kikuu cha binafsi huko Chicago, Illinois. Kilianzishwa mwaka 1856.

Chuo Kikuu cha Chicago
Latin: Universitas Chicaginiensis
Wito kwa Kiswahili"Acha maarifa yakue kutoka zaidi hadi zaidi; na hivyo kutajirika maisha ya mwanadamu"[1]
Kimeanzishwa1856[1][2]
AinaChuo cha binafsi
RaisA. Paul Alivisatos
ProvostKa Yee Christina Lee
Walimu2,859[3]
Wanafunzi18,452[1]
Wanafunzi wa
shahada ya kwanza
7,559[1]
Wanafunzi wa
uzamili
10,893[1]
MahaliChicago, Illinois, Marekani
Tovutiuchicago.edu

Tanbihi

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Chicago kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.