Emilia wa Vialar

Emilia wa Vialar (kwa Kifaransa Émilie de Vialar, 12 Septemba 179724 Agosti 1856) alikuwa mtawa Mfaransa aliyeanzisha shirika la kimisionari la Masista wa Mt. Yosefu wa Njozi.

Mt. Emilia wa Vialar.
Masalia yake huko Gaillac.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius XItarehe 18 Juni 1939, halafu mtakatifu na Papa Pius XII tarehe 24 Juni 1951.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Agosti[1].

Maandishi yake

  • Relationship of Grace, written at the request of her confessor in 1842
  • Spirit and rules of the Congregation - 1841

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.