Eric Balfour

Eric Salter Balfour (amezaliwa tar. 24 Aprili 1977) ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Huyu ndiye mwimbaji kiongozi wa bendi ya Born As Ghosts, zamani ilikuwa inajulikana kwa jina la Fredalba. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Milo Pressman kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.

Eric Balfour

Eric Balfour, mnamo 2010
AmezaliwaEric Salter Balfour
24 Aprili 1977 (1977-04-24) (umri 47)
Los Angeles, California, Marekani
Kazi yakeMwigizaji, mwimbaji
Miaka ya kazi1991-hadi leo
NdoaErin Chiamulon (2015)
Watoto2

Filamu

MwakaFilamuKamaMaelezo
1991Kids IncorporatedEricTamthilia
1992Arresting BehaviorBilly RuskinVipindi 5
1993Bloodlines: Murder in the FamilyMatt
1993Danger TheatreTeenager #2Kipindi: "An Old Friend for Dinner"
1993Step by StepMichael FielderKipindi: "Never on Sunday"
1993-1994Dr. Quinn, Medicine WomanBenjamin AveryVipindi 2
1994AnimaniacsJared (sauti)Vipindi 2
1995Boy Meets WorldTommyKipindi: "Pop Quiz"
1995KirkZackKipindi: "The Crush"
1996Shattered ImageGreg
1996ChampsDannyKipindi: "For Art's Sake"
1996No One Would TellVince FortnerFilamu
1996TowniesAdamKipindi: "The Good Job"
1997Buffy the Vampire SlayerJesseKipindi: "Welcome to the Hellmouth"
Kipindi: "The Harvest"
1997Trojan WarKyle
1997CluelessPizza BoyKipindi: "Salsa, Chlorine & Tears"
1998Dawson's CreekWarren GoeringKipindi: "Road Trip"
1998Can't Hardly WaitHippie Guy
1999Nash BridgesCliff MorehouseKipindi: "Shoot the Moon"
1999The West WingKipindi: "Mr. Willis of Ohio"
1999ScrapbookAndy Martin
2000Chicago HopeJason KernsKipindi: "Hanlon's Choice"
2000What Women WantCameron
2001RainPvt. Morris
2001FreakyLinksChapin DemetriusKipindi: "Subject: Live Fast, Die Young"
2001America's SweetheartsSecurity Guard
2001The ChronicleMark GriffinKipindi: "Only the Young Die Good"
2001NYPD BlueEli Beardsley
Charlie 'Spyder' Price
Kipindi: "Peeping Tommy"
Kipindi: "Two Clarks in a Bar"
2001Six Feet UnderGabeVipindi 3
2001–2003Six Feet UnderGabriel DimasVipindi 11
2001–200224Milo PressmanVipindi 8
2003Secondhand LionsSheik's Grandson
2003The Texas Chainsaw MassacreKemper
2003–2004Veritas: The QuestCalvin BanksVipindi 13
2004FearlessRyan
2004Face of TerrorSaleem Haddad
2004The O.C.EddieVipindi 3
2004HawaiiChristopher GainsTamthilia
2005Be CoolDerek
2005RxAndrew
2005Lie with MeDavid
2005In Her ShoesGrant
2005Sex, Love & SecretsCharlieKipindi: "Secrets"
2006ConvictionA.D.A. Brian PelusoVipindi 13
2006The Elder SonSkip
2007Protect and ServePaul Grogan
200724Milo PressmanVipindi 20
2007LA InkMwenyewe
2008Hell RideComanche / Bix
2008What We Take from Each OtherThief of Hands
2008The Ex ListJohnny DiamontKipindi: "Pilot"
2008The SpiritMahmoud
2009HorsemenTaylor Kurth
2009SpreadSean
2009Fear ItselfMaxwellKipindi: "Echoes"
2009Life on MarsEddie CarlingKipindi: "The Dark Side of the Moon"
2009Rise of the GargoylesProf. Jack Randall
2009Law & Order: Criminal IntentMax GoodwinKipindi: "Salome in Manhattan"
2009MonkLenny BarloweKipindi: "Mr. Monk Is Someone Else"
2009ValemontEric Gracen
2010Cell 213Michael Grey
2010DinosharkTrace McGraw
2010Saving GraceJesusKipindi: "Loose Men in Tight Jeans"
2010BeatdownVictor
2010 -HavenDuke Crocker
2010SkylineJarrod
2010The Legend of Hell's Gate: An American ConspiracyWill Edwards
2010Do Not DisturbFrankSegment: "Rocketman"
2011No Ordinary FamilyLucas WinnickVipindi 2
2012Dark as DayJake
2014Manson GirlsBobby Beausoleil[1]
2014Tao of SurfingDayne

Marejeo

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Balfour kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.