Ezekieli Moreno
Ezekieli Moreno, O.A.R. (kwa Kihispania: Ezequiél Moreno y Díaz; Alfaro, La Rioja, Hispania, 9 Aprili 1848 – Montegudo, Navarra, Hispania, 19 Agosti 1906) alikuwa Mwaugustino mmisionari huko Ufilipino, Asia visiwani, halafu huko Kolombia, Amerika Kusini alipopata kuwa askofu wa Pasto.
Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 1 Novemba 1975, na Papa Yohane Paulo II alimfanya mtakatifu tarehe 11 Oktoba 1992[1].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
- Rafael Lazcano, Episcopologio agustiniano. Agustiniana, Guadarrama (Madrid), 2014, vol. II, 2024-2063. [Life, works, studies, iconography and wegraphy).
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Recoletos Communications Archived 28 Februari 2009 at the Wayback Machine.
- Parton Saints Index
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz