11 Oktoba

tarehe
Sep - Oktoba - Nov
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 11 Oktoba ni siku ya 284 ya mwaka (ya 285 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 81.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Yohane XXIII, Filipo mwinjilisti, Tarako, Probo na Androniko, Nikasi, Kwirini na wenzao, Santino wa Verdun, Sarmata, Firmino wa Uzes, Kaniko abati, Anastasi balozi, Aleksanda Sauli, Petro Le Tuy, Maria Desolata n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 11 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.