Filibati wa Jumieges
Filibati wa Jumieges (Gascony, 616 – 20 Agosti 684) tangu ujanani alikuwa mmonaki na mwaka 650 akawa abati. Baadaye alianzisha monasteri mbili zilizofuata kanuni ya Mt. Kolumbani[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
- Farmer, David (ed.), 2004. Oxford Dictionary of Saints. Oxford: OUP (5th edn).
- Krusch, B. (ed.). Vita Filiberti (Monumenta Germaniae Historica, Scriptores Rerum Merovingicarum V, pp. 568–606).
- Poupardin, R., 1905. Monuments de l'histoire des abbayes de saint Philibert.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz