Frank Leboeuf
Mchezaji mpira wa Ufaransa
Franck Alain James Lebœuf (alizaliwa nchini Ufaransa Januari 22, 1968) ni mwigizaji na mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Ufaransa wa kimataifa ambaye alicheza hasa kama mlinzi wa kati.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c3/Frank_Leboeuf.jpg/220px-Frank_Leboeuf.jpg)
Kwa timu ya taifa ya Ufaransa, Leboeuf aliisaidia Ufaransa kushinda Kombe la Dunia ya FIFA ya 1998 na michuano ya Ulaya ya 2000 pamoja na nyara nyingi za ndani, alikuwa maarufu miaka mitano huko Chelsea.
Tangu astaafu mpira, Leboeuf amekuwa akionekana katika uzalishaji wa vipindi na filamu.
![]() | Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Frank Leboeuf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino