Gabrieli VII wa Aleksandria

Gabrieli VII wa Aleksandria (alifariki 1570) kuanzia mwaka 1525 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 95 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Julai.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.