17 Julai

tarehe
Jun - Julai - Ago
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 17 Julai ni siku ya 198 ya mwaka (ya 199 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 167.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wafiadini wa Scilla, Yasinto wa Amasra, Yusta na Rufina, Marselina wa Milano, Aleksi wa Roma, Theodosi wa Auxerre, Enodi wa Pavia, Fredegandi, Kenelmi, Papa Leo IV, Kolmano, Zoeradi na Benedikto, Hedwiga wa Poland, Petro Liu Ziyu n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 17 Julai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.