Gaukeri
Gaukeri (Meulan-sur-Seine, Ufaransa, 1060 – Aureil, Ufaransa, 1140) alikuwa padri aliyekwenda kuishi upwekeni na hatimaye alianzisha huko Aureil monasteri yenye jumuia mbili (ya kiume na ya kike) za aina ya Wakanoni, chini ya kanuni ya Augustino[1] akawa, hasa kwa waklero, kielelezo cha maisha ya kijumuia na cha juhudi za kitume.
Papa Selestini III alimtangaza mtakatifu tarehe 18 Septemba 1194
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
- Jean Becquet, in G. Pelliccia e G, Rocca (curr.), Dizionario degli Istituti di Perfezione (DIP), vol. IV (1977), col. 1044.
Viungo vya nje
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz