Gulielmo wa Firenze

Gulielmo wa Firenze, O. de M. (alifia dini Algiers, Algeria, 1330) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Firenze, Italia, ambaye alikwenda Afrika pamoja na Pere Ermengol ili kuhubiri Injili.

Baada ya kurudi Italia na kupatanisha watu wengi, alitumwa tena Algiers lakini alikamatwa na hatimaye kusulubiwa kwa ajili ya imani yake.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Mei.

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.