Haki za wanawake
madai kwa ajili ya haki za wanawake na wasichana duniani kote
Haki za wanawake ni haki za binadamu zinazowalenga zaidi wanawake (na wasichana) duniani kote.
Vuguvugu la haki za wanawake lilianza karne ya 19. Haki hizo zinaungwa mkono na sheria, mila na desturi za jamii mbalimbali, ambapo katika nchi nyingine, haki hizo hazizingatiwi na hivyo hukandamizwa. Haki za wanawake zinatofautiana kutoka jamii moja kwenda nyingine kuendana na historia, utamaduni na desturi zilizozoeleka.[1]
Masuala ambayo kwa kawaida huhusishwa na dhana ya haki za wanawake ni pamoja na uhuru wa kujitawala, kutokuwa na unyanyasaji wa kijinsia, kupiga kura, kushika nafasi za uongozi, umiliki wa mali na kuingia mikataba ya kisheria.[2]
Tazama pia
Marejeo
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Haki za wanawake kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz