Jackie Chan

Jackie Chan (amezaliwa tarehe 7 Aprili, 1954) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini China.

Jackie Chan

Jackie Chan
Amezaliwa7 Aprili, 1954
Kazi yakemwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini China.

Alijipatia umaarufu kupitia uigizaji wa kweli wa filamu tofauti za Kichina zenye kuchangamsha, kuchekesha na kutoa mafunzo kadhaa kwa ajili ya jamii. Ili kuzuia uhalifu kwa sanaa na kupokea na kutoa rushwa kwa viongozi wa nchi.