7 Aprili

tarehe
Mac - Aprili - Mei
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 7 Aprili ni siku ya 97 ya mwaka (ya 98 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 268.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane Baptista de La Salle, Egesipo, Pelusi wa Aleksandria, Theodoro wa Pentapoli na wenzake, Kaliopi, Askari wafiadini wa Sinope, Joji wa Mitilene, Aibati, Hermani Yosefu, Henri Walpole, Petro Nguyen Van Luu n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 7 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.