Jeradi wa Macon

Jeradi wa Macon (kwa Kifaransa: Gérard, Gérald, Girard o Gérard; Ubelgiji au Uholanzi, karne ya 9 - 958 hivi) alikuwa mmonaki, halafu askofu wa 20 wa Macon, Ufaransa, kwa miaka 40 hadi mwaka 927 alipokwenda kuishi upwekeni katika msitu wa Brou, karibu na Bourg-en-Bresse[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Mei[2].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.