29 Mei

tarehe
Apr - Mei - Jun
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 29 Mei ni siku ya 149 ya mwaka (ya 150 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 216.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Paulo VI, Esikyo wa Antiokia, Masimino wa Trier, Sisini na wenzake, Esuperansi wa Ravenna, Senatori wa Milano, Jeradi wa Macon, Bona wa Pisa, Ursula Ledochowska n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 29 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.