John Logie Baird
John Logie Baird (13 Agosti 1888 - 14 Juni 1946) alikuwa mhandisi wa Scotland na mvumbuzi wa mfumo wa kwanza wa televisheni duniani, na wa mirija ya televisheni
Maisha ya awali
Baird alizaliwa huko Helensburgh, Dunbartonshire, Scotland. Alisoma shule ya Larchfield Academy huko Helensburgh, kisha akaenda Glasgow na Magharibi ya Scotland Technical College (ambayo baadaye ikawa Chuo Kikuu cha Strathclyde); na Chuo Kikuu cha Glasgow.
Majaribio ya televisheni
Ingawa wavumbuzi wengi walisaidia kufanya televisheni, Baird alikuwa mtu muhimu na kuleta maendeleo mazuri. Hasa nchini Uingereza, watu wengi wanasema kuwa Baird alikuwa mtu wa kwanza kufanya picha za mubashara kutoka kwenye mwanga uliojitokeza.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Logie Baird kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz