John Tyler

John Tyler (29 Machi 179018 Januari 1862) alikuwa Rais wa kumi wa Marekani kuanzia mwaka wa 1841 hadi 1845. Alikuwa Kaimu Rais wa William Henry Harrison aliyefariki madarakani baada ya mwezi mmoja tu.

John Tyler


Muda wa Utawala
Aprili 4, 1841 – Machi 4, 1845
mtanguliziWilliam Henry Harrison
aliyemfuataJames K. Polk

Muda wa Utawala
Machi 4, 1827 – Februari 29, 1836
mtanguliziJohn Randolph
aliyemfuataWilliam Cabell Rives

tarehe ya kuzaliwa(1790-03-29)Machi 29, 1790
Charles City County, Virginia, Marekani
tarehe ya kufa18 Januari 1862 (umri 71)
Richmond, Virginia
mahali pa kuzikiwaHollywood Cemetery (Richmond, Virginia)
watoto15
mhitimu waThe College of William & Mary
Fani yakeMwanasiasa
Wakili
signature

Tazamia pia

}}

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Tyler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.