Jordyn Huitema

Jordyn Pamela Huitema (amezaliwa Mei 8, 2001[1]) ni Mkanada mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. (PSG) iliyoko daraja la kwanza kwa wanawake na pia timu ya taifa ya Kanada

Jordyn Huitema

Alifunga goli lake la kwanza la kitaifa akiwa mwenye umri wa miaka 16, kumfanya kuwa mchezaji bora kwenye michuano ya wanawake ya ligi ya UEFA kabla ya kufikisha 20 alikuwa ametajwa kama mrithi wa lejendi wa kikanada Christine Sinclair.[2][3][4]

Marejeo