José Andrés Tamayo Cortez
Mwanamazingira wa Hondurazi
José Andrés Tamayo Cortez (alizaliwa San Pedro, Honduras, 1958) ni kasisi wa Kikatoliki na mwanamazingira wa Honduras, kiongozi wa Vuguvugu la Mazingira la Olancho na "uso wa umma wa harakati za mazingira nchini humo". [1] 2005 alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman . Baada ya kufukuzwa kutoka Honduras mwaka 2009 aliishi uhamishoni Nicaragua.
Marejeo
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu José Andrés Tamayo Cortez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino