Jovenale wa Narni

Jovenale wa Narni (alifariki Narni, Umbria, 369/377) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa mji huo (Italia ya Kati)[1][2][3].

Michoro pacha ya Massaccio; Mt. Jovenale anaonekana kulia pamoja na Mt. Antoni.

Inasemekana alikuwa na asili ya Afrika Kaskazini akapewa uaskofu na Papa Damaso I.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Mei [5]

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.